• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

DC MANYONI AZINDUA BODI YA AFYA ITIGI

Tarehe ya Kuwekwa: August 29th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe Rahab Jackson  Mwagisa amewataka wajumbe wa bodi ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi kutekeleza Majukumu yao Ipasavyo. Rahab  alitoa kauli hiyo ambayo alipokuwa akizindua bodi hiyo ya  afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi  ambayo ni ya kwanza tangu kugawanywa kwa halmashauri ya Manyoni na Halmashauri ya Wilaya ya Itigi.

Hata hivyo mkuu wa wilaya aliwapongeza wajumbe wote kwa kuchaguliwa kutumika katika bodi hiyo ya Afya. Pia Rahab aliwataka wajumbe hao  kuhakikisha kuwa huduma za Afya zinatolewa kwa kufuata taratibu zilipo pamoja na kusimamia Maadili ya watumishi wa Idara ya Afya kwa kufanya kazi kwa kuzingatia Taaluma zao pamoja na kuwa na kauli nzuri kwa Wananchi ambao wanafika kwenye vituo vya Afya au Zahanati kwa ajili ya Kupata Huduma

Rahab pia alitumia fursa hiyo kumtangaza ndugu Didas Issuja ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Afya kwa Kupata kura 7 za ndio na kura 0 Hapana pamoja na Hivyo Alimtangaza bi Janet John Tuu kuwa Makamu  Mwenyekiti wa Bodi ya Afya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi. Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Aliwapongeza sana wajumbe kwa kutumia haki yao ya kidemokrasia kwa kuchagua viongozi wanaowataka na kuwataka viongozi hao ambao wamechaguliwa kuongoza kwa kufuata Sheria, Kanuni ,na  taratibu

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Mh Ally Minja Alimshukuru Mkuu wa Wilaya kwa Kuweza kuzindua bodi ya Afya ya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi. Minja alisema kuwa Bodi ya Afya katika Halmashauri ya Itigi ni Muhimu sana kwa kuwa sasa itakuwa na kazi ya kuhakikisha shughuli za Afya zinasimamiwa ipasavyo. Hata hivyo Minja aliwataka Wajumbe wa Bodi kufanya kazi kwa kushirikiana na halmashauri kwa kuwa Halmashauri ndio inayounda bodi na Sio Bodi ndio inaunda halmashauri

 Minja Alisema pia Halmashauri ya Wilaya ya Itigi itatoa ushirikiano wa kutosha kwa bodi ya afya ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi.

Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh Rahab Jackson Mwagisa (katikati)alievalia koti nyeusi akiwa pamoja na wajumbe wa bodi ya afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi(kushoto) Didas 

Issuja Mwenyekiti wa Bodi ya Afya na Kulia kwake ni Makamu mwenyekiti Bi Janet John Tuu.

Mwenyekiti wa Bodi ya Afya Halmashauri ya Wilaya ya Itigi ndugu Didas Issuja (Katikati )akiwa pamoja na Mratibu wa CHF (kulia) pamoja na Mjumbe wa Bodi ya Afya (Kushoto)

Mjumbe wa Bodi ya Afya ndugu Hussein Simba Akipokea Majukumu ya kazi ya Bodi ya Afya kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Rahab Jackson Mwagisa 




Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa