• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

DC Mwenda Awataka Vijana wa Itigi watakaopata Kazi Kwenye Mradi wa SGR kuwa Waadilifu.

Tarehe ya Kuwekwa: October 20th, 2022

Mhe, Mkuu wa Wilaya ya Iramba Ndugu Selemani Mwenda  ameyasema hayo kwenye Mikutano ya Hadhara katika Vijiji kadhaa katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

Mwenda ambaye anakaimu Ukuu wa Wilaya ya Manyoni ametembelea   kwenye Vijiji vya Kazikazi, itigi mjini , mlowa , kitopeni , Mabondeni, aghondi, na Mbugani  ambavyo Mradi wa reli ya Kisasa unapita na kufanya Mikutano na Wananchi. Katika Ziara yake ambaye alianzia Manyoni kijiji cha Makutupora na kumalizia kwenye vijiji vya  halmashauri ya Itigi amesema “kuwa Ajira hizi ambazo kwa sasa zimetolewa katika Ujenzi huo wa Reli ya Kisasa haziitaji utaalamu wowote , Ajira hizo ni zile ambazo zinahitaji wapishi, wanyoosha vibendera, walinzi , wabeba Mizigo , wafanya Usafi nk”

Mwenda amesema “kuwa vijana watakaopata kazi ni muhimu kuwa Waaminifu , waadilifu na watenda kazi wazuri ili kujiwekea imani kwa Waajiri wao”  

Aidha Mwenda amewaeleza wananchi kuwa Ajira Hizo hazina Mtu kati  bali Mkataba wa Ajira kwa Watakaopata kwa Kujaza fomu ambazo zimetolewa katika maeneo yote ya Vijiji ambapo Mradi unapita utafungwa kati ya kampuni inayosimamia ujenzi na Mwajiriwa kwa Kuzingatia sifa ambazo zimetolewa

Akitoa ufafanuzi wa Mh Mkuu wa Wilaya juu ya idadi inayotakiwa  amesema “ kuwa kampuni kwa sasa inahitaji watu 500 katika Wilaya ya Manyoni na kwa kuzingatia hilo kila Kijiji ambapo Reli ya kisasa inapita kuanzia Kijiji cha  Makutupora Wilayani Manyoni Hadi Kijiji cha  Kazikazi Halmashauri ya Itigi  kitatoa vijana kulingana na idadi inayotakiwa kwenye kijiji hicho”

Pamoja na kufanya Mikutano katika Vijiji hivyo Mh Mwenda alitumia Fursa hiyo kuwahamisha wananchi kushiriki katika Miradi ya Meandeleo ambayo inatekelezwa katika maeneo yao kwa kushiriki kikamilifu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa