• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

DMO ITIGI DC AISHUKURU SERIKALI UTOAJI CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI (HPV)

Tarehe ya Kuwekwa: April 25th, 2024

Zaidi ya wasichana 18,977 wenye umri kuanzia miaka 9 - 14  Halmshauri ya Wilaya ya Itigi Mkoani Singida wanatarajiwa kupatiwa chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi (HPV) kupitia vituo vya kutolea huduma za Afya, huduma za mkoba, Kliniki pamoja na maeneo ambayo yatafaa kutembelewa


Akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni ya utoaji wa chanjo hiyo Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Dkt. Emmanuel Mallange kwa niaba ya Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe. Kemirembe Lwota amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  inayoongozwa na Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan imetoa fedha nyingi kwa ajili ya utekelezaji wa kampeni hii ya chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi kwa wasichana wenye umri kati ya miaka 9- 14, na kusisitiza wasimamizi kuhakikisha zoezi hilo linafanikiwa kwa kuwafikia walengwa

"Kipekee nitumie fursa hii kumshukuru Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea na mikakati ya kupambana na kuzuia magonjwa yanayozuilika kwa chanjo’’

Awali  akisoma taarifa ya Maadhimisho ya Wiki ya chanjo na Uzinduzi wa matumizi ya Dozi moja dhidi ya Saratani ya Mlango wa Kizazi (HPV) mratibu wa chanjo wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Ndg.Maige Minyanyasai amesema kampeni hiyo imeanza tarehe  22/4/ 2024 na kutarajiwa kutamatika Aprili 28, 2024 na  kuwataka wananchi wote  mwenye mtoto wenye umri kati ya miaka 9-14  kuwapeleka kupata chanjo.


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa