• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

H'W ITIGI YAONGOZA KATIKA KAMPENI UTOAJI CHANJO UVIKO-19 MKOA WA SINGIDA

Tarehe ya Kuwekwa: July 12th, 2022

Watu 15,852 wamepatiwa chanjo ya UVIKO-19 ikiwa ni sawa na asilimia 145 na kufanya jumla ya watu waliochanjwa kufikia 27,373 katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi .

Akitoa taarifa katika kikao cha kutoa tathimini ya kampeni ya chanjo ya UVIKO-19 iliyofanyika kuanzia Juni 29 hadi Julai 5,2022,Mganga mkuu wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Dkt.Emmanuel Mallange amebainisha kuwa lengo la serikali ni kuwafikiwa wanachi wote ili wapatiwe chanjo dhidi ya ugonjwa hatari wa UVIKO-19.

Dkt.Mallange amebainisha kuwa jumla ya dozi 16500 zimetumika huku 6,750 zikiwa zimebaki na zinaendelea kutumika katika vituo vya kutolea huduma za afya huku akianisha baadhi ya changamoto ikiwa ni pamoja na uchache wa watumishi,bajeti ndogo iliyopangwa kwa halmashauri ya Itigi na upungufu wa mafuta kwa ajili ya usafiri.

Aidha Dkt,Mallange amewakumbusha viongozi wa dini na serikali kuwahamasisha wananchi katika maeneo yao kushiriki kikamilifu katika zoezi la sensa ya kitaifa itakayoanza Agosti 23 mwaka huu.

Awali akifungua kikao, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Itigi Mh.Hssein Simba ameipongeza Idara ya Afya katika halmashauri kwa kufikia lengo la kampeni hiyo pamoja na changamoto zilizojitokeza na kuongeza kuwa  jitihada hizo sambamba na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo  zimepelekea Halmashauri ya Itigi kwa mwaka huu kupata hati safi.

Naye Mwenyekiti wa Kijiji cha Songambele kilichopo katika mji wa Itigi Bwana Robson Mlangida ametoa rai kwa viongozi wa dini na serikali kutumia majukwaa yao kutoa elimu kwa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo ya UVIKO-19 huku akibainisha kuwa bado kuna maeneo mengi hayajafikiwa ikiwemo kijiji cha Songambele.

Kampeni hii imefanyika katika kata 13 na vjiji 36 katika Halmashauri ya Wilaya ya Itigi kwa mtindo wa nyumba kwa nyumba na mikusanyiko ya hadhara.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa