• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

KAMATI YA LISHE H'W ITIGI IJUMUISHE IDARA MTAMBUKA

Tarehe ya Kuwekwa: November 23rd, 2022

Kamati ya Lishe ya halmashauri ya wilaya ya Itigi imeshauriwa kuweka mpango kazi wa utekelezaji wa masuala ya lishe ambao utajumuisha  shughuli mbalimbali  ambazo hazihitaji fedha lakini zinaweza kufanyika kulingana na mazingira husika.

Akizungumza wakati wa Kikao cha Mapitio ya Utekelezaji wa Mpangokazi wa Lishe kwa mwaka 2023/2024 kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Itigi, Mratibu wa Afya ya uzazi wa  mama na mtoto Mkoa wa Singida Bi. Christoweru Barnabas  amesema kuwa kuna shughuli nyingi zinazohusu masuala ya lishe zinaweza kutekelezwa  na zikasaidia jamii katika maeneo yao ambazo hazihitaji rasilimali fedha.

Bi. Christoweru pia amesisitiza kuwa kamati ya lishe ya halmashauri  inapaswa kushirikisha idara mtambuka katika usimamizi wa shughuli mbalimbali za lishe ‘’tusiache kamwe kutengeneza kompozisheni ya usimamizi wa shughuli za masuala ya lishe zitakazo jumuisha wanakamati kutoka idara mtambuka ‘’alisisitiza

Kwa upande wake Afisa Lishe mkoa wa Singida Bi.Teda Sinde mbali  na kiupongeza halmashauri ya Itigi kwa kuandaa mpangokazi mzuri pamoja na mafanikio ya utekelezaji wa masuala ya lishe,lakini amesema kuwa kamati inapaswa kufanya kazi kwa ushirikiano kwa kuwa lishe ni suala mtambuka .

Awali akifungua kifungua kikao Mganga Mkuu wa halmashauri ya Itigi kwa niaba ya Mkuu wa wilaya  ya Manyoni Mh.Rahabu Mwagisa amehimiza  watumishi wa wa umma katika idara ya afya ya halmashauri hiyo kushiriki kikamilifu katika ukusanyaji wa mapato ya halmashauri ili bajeti ya lishe iweze kutekelezeka.

Matangazo

  • BARAZA LA MTIHANI TANZANIA (PSLE-2022/2023) MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA, HALMASHAURI YA ITIGI. December 19, 2022
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MTUNZA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI (3) July 27, 2022
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA AJIRA MPYA WALIMU NA KADA YA AFYA WALIOPANGIWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI July 06, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATUNZA KUMBUKUMBU WALIO FAULU USAILI WA MAHOJIANO ULIO FANYIKA TAREHE 23/11/2022. December 09, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • WALIMU NA MAAFISA ELIMU KATA WAPIGWA MSASA

    March 02, 2023
  • KAMATI YA SIASA CCM MKOA YAKAGUA MIRADI ITIGI DC

    February 17, 2023
  • “MEWAKA’ KUWANOA WALIMU

    February 14, 2023
  • MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA ITIGI ARIDHISHWA NA MIRADI YA AFYA

    February 11, 2023
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0737235630

    Simu ya Mkononi: 0757226612

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa