• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

KAMATI YA SIASA YA CCM MKOA WA SINGIDA YAFANYA ZIARA YA UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO

Posted on: June 10th, 2025

Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Singida leo imefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika @itigi_dc , ikiongozwa na Mwenyekiti wa Chama Mkoa, Mhe.Martha Mlata. Ziara hiyo imelenga kujionea hatua za utekelezaji wa Ilani ya CCM, ambapo Kamati imetembelea mashamba ya wakulima wa dengu pamoja na ghala la kuhifadhia mazao hayo, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuinua uchumi wa wananchi kupitia kilimo.


Mkuu wa Mkoa wa Singida, Mhe. @halimadendego ameungana na Kamati hiyo katika ukaguzi huo, ambapo viongozi wamepongeza kasi ya utekelezaji wa miradi na ushirikiano kati ya serikali na wananchi katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Wamesisitiza umuhimu wa kuendelea kuimarisha sekta ya kilimo kwa vitendo ili kuongeza tija na thamani ya mazao ya wakulima.


Ziara hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Halmashauri akiwemo Mkurugenzi Mtendaji Ndg. @ayoub_kambi pamoja na Diwani wa Kata ya Itigi Mjini, Mhe. @allyminja37 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi itaendelea kushirikiana na wadau wa maendeleo kuhakikisha kuwa miradi inayotekelezwa inaleta matokeo chanya kwa jamii

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.