• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

KAMILISHENI MIRADI YA KIMKAKATI KWA WAKATI-SERUKAMBA

Posted on: June 8th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Peter Serukamba amemuagiza Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Itigi kukamilisha miradi ya maendeleo inayoendelea ili kuongeza kasi ya utoaji huduma kwa wananchi

Mhe Serukamba amesema hayo wakati wa ziara ya kikazi ya kukagua miradi ya maendeleo katika halmashauri ya wilaya ya itigi ambapo ameridhishwa na kasi ya ujenzi katika miradi hiyo.

“Nawapongeza kwa kazi nzuri mnazofanya za kutoa huduma kwa wananchi hususani katika miradi ya elimu na afya, ongezeeni bidii kusimamia ili kufikia januari yale maboma yote ya shule yawe tayari kwa kufundishia watoto wetu, katika afya hakikisheni mnamaliza haraka na kuleta watumishi ili tutuimze adhma ya serikali ya kutoa huduma kwa ubora na wakati katika maeneo yetu”, alisema RC serukamba.

Aidha Mkuu wa wilaya ya Manyoni Mhe Kemilembe Lwota amemshukuru Mkuu wa mkoa kutembelea miradi katika halmashauri hiyo ambapo amemuhakikishia atasimamia maelekezo yote aliyoyatoa na kukamilisha utekelezaji wa miradi `kwa wakati

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi John Mgalula amesema jumla ya maboma 92 ya sekta ya afya na elimu yapo katika hatua mbalimbali za ukamilishaji ambapo hadi kufika  Januari yanatarajiwa kuwa tayari kutumika.

“Nikuhakikishie RC, Mimi na wataalamu wangu tunafanya kila jitihada kuhakikisha maboma yote yanakamilika kwa wakati, na tunatoa huduma bora kwa wananchi wa maeneo husika”, alisema Mkuu wa wilaya ya Manyoni.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.