• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

Katika kuadhimisha kilele cha maadhimisho ya siku Wanawake duniani Jamii ya Itigi yatakiwa kuuenzi mchango wa Mwanamke

Tarehe ya Kuwekwa: March 8th, 2019

Afisa Tawala Wilaya ya Manyoni Bi Leila Sawe  amesema hayo katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Wanawake duniani  katika halmashauri ya Wilaya ya itigi ambapo maadhimisho hayo yalipofanyika katika viwanja vya Police  square Majengo

Bi leila Sawe “amesema kuwa jamii ina wajibu wa kuutambua na kuuenzi Mchango wa Mwanamke katika jamii na pia kutoa fursa kwa wadau mbalimbali wa masuala ya Maendeleo , yakiwemo mashirika yasiyokuwa ya kiserikali , vyama vya siasa na jamii nzima kwa ujumla katika kutafakari kwa kina umuhimu na nafasi ya mwanamke katika shughuli za kuleta maendeleo”

Aidha Afisa Tawala huyo amesisitiza kuwa suala la Elimu ni muhimu kwa watoto wa jinsi zote za kike na kiume , Sawe amesema kuwa kumekuwa na tabia ya Wazazi kutotoa kipaumbele cha Elimu kwa Watoto wa kike hivyo kutowapeleka shule au kuwaachisha shule mapema  ili wakaolewe au kufanya kazi za ndani.

Hata hivyo katua hatua nyingine Bi leila Sawe amewasihi akina mama wajawazito kuhudhuria kliniki na kujifungulia katika vituo  vya Afya ambapo huduma za Afya za mama na Mtoto hutolewa,

Nae Kaimu Afisa Maendeleo ya jamii wa Halmashauri ya Itigi Bwana Valence Kilasala akisoma Risala kwa Mgeni Rasmi amesema kuwa Lengo la Maadhimisho Haya ni Kuamsha Ari ya Ushiriki wa Wanawake kufikia Uchumi wa Viwanda na Kuleta mabadiliko chanya katika jamii yetu baada ya mfumo dume ulio wakandamiza wanawake katika nyanja mbalimbali za maisha za kiuchumi, kijamii, na kisiasa .

Aidha kilasara amesema kuwa Chimbuko la Maadhimisho ya Wanawake ulimwenguni ni kutokana na wanawake kubaguliwa , kutothaminiwa , kunyanyasika  katika nyanja zote za kimaisha. Tanzania kama Nchi mwanachama wa Umoja wa mataifa ilisaini mikataba mbalimbali ya kuondoa na kupinga mfumo dume ya unyanyasaji wanawake dhidi ya vitendo vya kikatili katika kutoa haki sawa kwa wanawake na wanaume

Pia Kilasara amesema kuwa katika kutekeleza kauli mbiu ya mwaka huu BADILI FIKRA KUFIKIA USAWA WA KIJINSIA KWA MAENDELEO ENDELEVU kwanza kabisa ni kuwawezesha wanawake kiuchumi. Wanawake aambao ni jeshi kubwa kwa kupitia mfuko wa maendeleo ya Wanawake Halamsahuri kupitia mapato yake ya Ndani imetenga 4% ya mapato yake ambayo ni sawa Tsh 77,804,000/= kwa mwaka wa fedha 2018/2019 kwa ajili ya  Vikundi vya Wanawake , VICOBA na SACCOS na kuleta mabadiliko ya kiuchumi katika kuanzisha Viwanda vidogo na vya kati.

Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Afisa Tawala Wilaya ya Manyoni Bi Leila Sawe(Kushoto) pamoja na Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii Halamshauri ya Itigi Bwana Valence Kilasara (Kulia)

Baadhi ya Wananchi wakifuatila Matukio katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani katika Halamshauri ya Itigi

Kaimu Afisa Maendeleo ya Jamii Bwana Valence Kilasara akikabidhi Risala kwa Mgeni Rasmi

Baadhi ya Wananchi wakifuatila Matukio katika Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya wanawake Duniani katika Halamshauri ya Itigi

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa