• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

KERO YA MAJI KIHANJU YAPATA MWAROBAINI

Tarehe ya Kuwekwa: September 13th, 2022

Mkuu wa mkoa wa Singida Mh.Peter Serukamba amewataka wananchi wa Kijiji cha Kihanju  kilichopo katika halmashauri ya Itigi Mkoani Singida kuunda chombo cha kusimamia matumizi ya Maji katika mradi wa maji uliokabidhiwa leo Novemba 13,2022 ili uweze kuwa endelevu.

Serukamba amesema hayo katika hafla ya makabidhiano maalumu ya mradi wa maji baina ya shirika la WaterAid ambao ni watekelezaji wa mradi,Kampuni ya bia Tanzania  SBL ambao ni wawezeshaji wa mradi ,RUWASA ambao ni wasimamizi pamoja na wakaazi wa Kijiji cha Kihanju yaliyofanyika katika eneo la mradi huo.

Amesema pamoja na mambo mengine chombo hicho kina wajibu wa kusimamia na kuratibu matumizi ya maji ikiwa ni pamoja na kupanga bei ya maji kwa kuwa sera ya maji inamtaka kila mtumiaji wa wahuduma hiyo kuchangia gharana za uendeshaji wa mradi sanjari na kuhakikisha miundombinu ya mradi inabaki kuwa salama.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la WaterAid Tanzania  Bi. Anna Mzinga ameishukuru serikali pamoja na mdau SBL kwa kufanikisha utekelezaji wa mradi huo kwa kuwa lengo la shirika hilo ni kuhakikisha linafikisha huduma maji kwa jamii na kuunga mkono kaulimbiu ya kumtua Mama ndoo kichwani.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa  kampuni ya SBL amebainisha kuwa mradi huo umegharimu kiasi cha shilingi milioni 290 mpaka kukamilika kwake na kuongeza kuwa ni matarajio yake kwa niaba ya kampuni kuwa mradi huo utaleta tija kwa wakaazi wa kijiji cha Kihanju na maeneo ya jirani  kwa kuwasaidia kupata maji safi na salama pamoja na kutumika katika shughuli mbalimbali za kiuchumi.

Mwisho

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa