• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

LIMENI MAZAO YANAYO HIMILI UKAME-DC MWAGISA

Tarehe ya Kuwekwa: November 12th, 2022

Wananchi wameshauriwa kulima mazao yanayostahimili mvua za wastani kuelekea msimu wa kilimo  ili waweze kupata tija na kuepuka baa la njaa.

Katika kikao chake cha hadhara na wakazi wa mji wa Itigi Bi. Mwagisa amesema kutokana na mvua zisizotabirika katika ukanda wetu wa mikoa ya kati wananchi wanapaswa kuchukua tahadhari kwa kulima mazao yanayohimili  ukame.

Aidha amesisitiza wananchi kujiandikisha ili waweze kupatiwa mbolea pamoja na begu za alizeti aina ya REKODA  yenye ruzuku kutoka serikalini ili watumie katika msimu unaokuja wa kilimo.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Itigi Ndg.John K. Mgalula akijibu ombi la Bw. Yussuf Muhuta kuhusu serikali kuwapatia wananchi chakula cha bei nafuu ili kupunguza makali ya mfumuko wa bei amesema kuwa tayari halmashauri yake imeshachukua hatua kuomba chakula  serikalini ili kije kuuzwa kwa wananchi kwa bei nafuu.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUKODI MAGARI KWA AJILI YA KAZI ZA MITIHIANI YA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI , SEPTEMBA 12 HADI 14,2023 August 17, 2023
  • TANGAZO LA KAZI YA KATIBU MAHSUSI July 14, 2023
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA AJIRA MPYA WALIMU NA KADA YA AFYA WALIOPANGIWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI July 06, 2021
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI WATUNZA KUMBUKUMBU WALIO FAULU USAILI WA MAHOJIANO ULIO FANYIKA TAREHE 23/11/2022. December 09, 2022
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MHE.RIDHIWANI AZUNGUMZA NA WANUFAIKA WA TASF ITIGI DC

    August 28, 2023
  • DC.LWOTA AZINDUA ZAHANATI KITONGOJI CHA IKANAMALENGA

    August 24, 2023
  • WANANCHI KATA YA IPANDE WAKUMBUSHWA KUZINGATIA MASUALA YA AFYA

    August 21, 2023
  • WALIMU WA SAYANSI ITIGI DC WAPIGWA MSASA

    August 12, 2023
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0737235630

    Simu ya Mkononi: 0757226612

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa