• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MAAFISA UGANI HALMASHAURI YA ITIGI WAPATIWA PIKIPIKI

Tarehe ya Kuwekwa: June 16th, 2022

              

Halmashauri ya Wilaya ya Itigi imepokea  pikipiki 16 kutoka Serikali kuu kwa ajili ya Maafisa ugani ili waweze kuwafikia wakulima kwa urahisi  katika maeneo yao na kuleta tija.

 Mgeni rasmi katika hafla ya mapokezi ya pikipiki hizo,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Itigi Mh. Hussei Simba  amesema serikali imetoa pikpiki hizo ikiwa ni sehemu ya vitendea kazi kwa Maafisa ugani ili kuwasaidia kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.

Mh.Simba amempongeza Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh.Samia Suluhu Hassan kwa kuona umuhimu mkuwa wa Maafisa ugani na kuamua kuwapatia vitendea kazi ili kuchochea ufanisi katika sekta ya kilimo nchini.

Awali akisoma taarifa fupi ya mapokezi ya pikipiki 16 zilizoletwa katika halmashauri ya Itigi Afisa kilimo,Umwagiliaji na Ushirika wa halmashauri hiyo Bw. Mkinguzi Mgalula amewataka Maafisa ugani kuuthamini uwezeshwaji huu wa vitendea kazi na kuongeza uwajibikaji katika maeneo yao na kuacha kufanya kazi kwa mazoea.

Kwa upande wake Kaimu Afisa Usafirishaji Bw. Geofrey Nguli amewataka Maafisa ugani waliokabidhiwa pikipiki kuzitumia kwa kuzingatia maelekezo ya serikali ya vyombo vya usafiri kama ilivyoelekezwa kwenye sheria.

Aidha ,Nguli amesisitiza kuwa kila afisa ugani anapaswa kutimiza majukumu yake kikamilifu ya kuwahudumia wananchi kwa kufika katika maeneo yao ili kutekeleza falsafa ya Mh. Rais inayosema “Kazi Iendelee”.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa