• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

“MEWAKA’ KUWANOA WALIMU

Tarehe ya Kuwekwa: February 14th, 2023

                                            

Ili kuendana na  kasi ya mabadiliko ya Sayansi na teknolojia serikali imeanzisha program ya Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini ili kuwawezesha walimu kuwa na umahiri katika kuhaulisha maarifa sahihi kwa wanafunzi.

Akizungumzia programu hiyo Mwl.Salome Kyomo ambae ni mwezeshaji wa MEWAKA  Kitaifa amesema mpango huo ni jia pekee ambayo imekusudiwa kumsaidia mwalimu kukabiliana na mabadiliko yanayotokea katika sekta ya elimu.

Amesema katika program hiyo kuna mifumo ya kielekroniki ambayo ina moduli mbalimbali ambazo zitawasaidia  walimu kujifunza mbinu za kufundishia .

Nae Mkuuwa Divisheni ya Elimu Msingi na Awali Bi. Doreen Lutahanamilwa  amesema kuwa mafunzo ya MEWAKA yamelenga kuwasaidia walimu,Maafisa Elimu Kata pamoja na Maafisa kutoka ofisi ya Halmashauri kuwa na  ujuzi sahihi ambao  utakaowawezesha kutoa maarifa kwa wanafunzi kulingana  na uhitaji.

Kwa upande wake Mwalimu Mkuu wa Shule ya msingi St.Vicent Sista Maria Ntandu amebainisha manufaa waliyoyapata katika  mafunzo hayo ikiwa ni pamoja na kujenga ushirikiano baina yao na vingozi wa ngazi ya Kata na halmashauri ili kuhakikisha kwa pamoja wanatoa maarifa yaliyokusudiwa kwa wanafunzi huku Mwalimu mkuu wa Shule ya Msingi Mjimpya Ndg. Beatus Selemani akisisitiza kuwa lengo la mafunzo hayo kwa walimu yawe ni kumsaidia mwanafunzi aweze kunufaika na mpango huo.

Programu  ya Mafunzo Endelevu ya Walimu Kazini (MEWAKA) ni Jumuiaya za ujifunzaji kwa waalimu katika ngazi ya Shule,Kata, Halmashauri,Mkoa na Taifa kwa lengo la kuboresha  ujifunzaji na ufundishaji .

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa