• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MHE.DENDEGO AWATAKA WANAFUNZI KUWA NA NIDHAMU

Tarehe ya Kuwekwa: April 21st, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe.Halima Dendego amewataka wanafunzi kuwa na nidhamu na  kusoma kwa bidii ili waweze kufaulu na kutimiza ndoto zao

Dendego ametoa kauli hiyo (tarehe 20 Aprili, 2024) katika ziara yake ya kikazi ya Siku Mbili katika Halmashauri ya wilaya ya Itigi wakati anakagua ujenzi wa nyumba ya mwalimu na kuzungumza na  wanafunzi katika Shule ya Sekondari ya Kitaraka

Mhe. Dendego ameagiza kukamatwa na kuchukuliwa hatua za kisheria kwa wanafunzi wa kike wanaopata mimba wakiwa shuleni kama hatua ya kukomesha tatizo hilo ambayo limeonekana kuwa ni kero kubwa katika maendeleo ya sekta elimu mkoani Singida

. Mkuu wa mkoa wa Singida amesema ili kukomesha tatizo hilo yeye ataanza kukamata kwanza msichana aliyepata mimba na baadaye mvulana ambaye atakuwa mtuhumiwa namba mbili kama hatua ya kukomesha vitendo vya mimba kwa wanafunzi.

Naye, Katibu Tawala wa mkoa wa Singida Dkt. Fatuma Mganga amewasisitiza wanafunzi kusoma kwa bidii na kuwa mfano kwa wazazi na jamii nzima na kuachana na mambo yanaenda kinyume cha maadili ya Kitanzania.

Fatuma Mganga, amesema kuwa kama wanafunzi watasoma kwa bidii hadi Vyuo Vikuu watakuwa na faida kubwa sio tu kwa familia zao bali kwa jamii nzima na Taifa kwa ujumla kwa sababu Serikali imeboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishiaa halmashauri ya Wilaya ya Itigi

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa