• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MINJA :ASANTE SANA MAIMAI KWA KUTULETEA HESHIMA SINGIDA NA HALMASHAURI YETU YA ITIGI

Tarehe ya Kuwekwa: June 10th, 2018

Mwenyekiti wa Halmshauri ya Wilaya ya Itigi Mh, Ally J Minja  ametoa pongezi hizo kwenye Hafla ya Mapokezi ya Mshindi na Bingwa wa Kusakata Rumba katika  mashindano ya kutafuta  vipaji mbalimbali linalofahamika  kwa jina la  CLUB RAHA LEO  2018 linaloendeshwa na shirika  la  utangazaji   la Taifa (TBC)

Minja ametoa pongezi hizo kwa Mshindi  na Bingwa wa Kusakata Rumba Tanzania Nzima katika  Mashindano ya CLUB RAHA LEO 2018  kwa  kumshukuru Moses Gezabuke alimaarufu maimai kwa kuleta heshima kubwa katika mkoa  wa singida na Halmshauri ya wilaya ya Itigi. Minja amesema kipaji ulichonacho  sisi kama halmashauri tutakiendeleza ili uweze kunufaika na kipaji hicho tunaahidi kukupatia ushiriakiano wewe na wasanii wote mliopo katika Halmashauri yetu ya Wilaya ya Itigi ili vipaji mlivyonavyo visipotee .

Pia tunajisikia faraja sana na Furaha sana mshindi  na Bingwa wa mashindano haya  upande wa Kusakata Rumba  katika Mashindano haya ya CLUB RAHA LEO  ndugu Maimai ametokea katika Halmshauri yetu ya Wilaya ya Itigi Mkoani Singida

Awali mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Wilaya ya  Itigi Ndg, Pius S. Luhende alimweleza  Mwenyekiti na Mgeni Rasmi wa Hafla hiyo kuwa  amekuwa akifanya mawasiliano mara kwa mara na Mshiriki huyo kwa lengo la kumtia moyo katika mashindano hayo pamoja na hayo luhende amemtaka mshiriki huyo kutumia ushindi huo alioupata kama fursa ya yeye kujiletea maendeleo

Luhende amesema pia ushindi alioupata Maimai ni  wa Singida na Halmashauri ya wilaya ya Itigi, Luhende amewataka  wananchi wenye vipaji kujitokeza pale mashindano yanapotangazwa  kwa wingi ili kushiriki mashindano hayo ili kuweza kujipatia kipato na kuweza kujitangaza pia

Aidha luhende  amempongeza  bwana Moses Gezabuke (Maimai) kwa kuweza kuitangaza halmshauri ya Wilaya ya Itigi Kupitia Mashindano hayo ya Club Raha leo Vizuri

Katika Hatua nyingine Mshindi na Bingwa wa mashindano ya Club Raha Leo katika Upande wa kusakata Rumba  amemshukuru sana mwenyekiti wa Halamshauri ya Wilaya ya Itigi pamoja Mkurugenzi Mtendaji ndg Pius Luhende kwa kumpatia ushirikiano wa kutosha katika Kipindi chote cha Mashindano ya Club Raha Leo yaliyokuwa yakifanyika  Dar es salaam.

Moses Gezabuke aliamaarufu Maimai amesema kuwa katika Mashindano kulikuwa na Washiriki wapatao 2456 lakini yeye ameweza kuibuka kidedea na Kuibuka na Kitita cha Sh. Millioni tano

Maimai Pia amewashukuru sana wananchi wa Itigi kwa Kumtia Moyo katika kipindi chote cha Mashindano hayo Maimai pia amewaasa wananchi wote wenye vipaji  kutokukata tamaa mapema na kuwaomba kushiriki katika Mashindano Mbalimbali ambayo yanatangazwa kwa lengo la kukuza vipaji vya wasanii mbalimbali .

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa