• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

Miraji Mtaturu-Ulinzi na usalama ni jukumu letu sote

Tarehe ya Kuwekwa: July 13th, 2018

Kaimu Mkuu wa Wilaya ya Manyoni ameyasema hayo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya Jeshi la Akiba (mgambo) ambayo yanaendelea katika halmashauri ya Wilaya ya Itigi katika Kata ya Mitundu.

Mtaturu amesema kuwa kila mmoja anawajibu wa kuilinda amani iliyopo ivo basi jukumu la ulinzi na usalama ni letu sote.  Pia Mtaturu amewataka wanamafunzo hayo kuzingatia mafunzo hayo wanayopewa na wakufunzi wao . Hata ivyo Mtaturu amesema kuwa katika mafunzo haya ya ukakamavu nimetoa maelekezo kuwa mpate mafunzo ya Ujasiliamali ambayo yatawasidia katika kujikwamua kiuchumi

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi bwana Pius Luhende akimkaribisha mkuu wa Wilaya alimweleza kuwa Halmashauri imekuwa bega kwa bega kuhakikisha kuwa mafunzo haya yanafanyika na yanaleta matokeo yaliyokusudiwa. Hata hivyo Luhende amesema kuwa halmashauri ya Itigi katika kuendelea kuunga mkono mafunzo hayo itagharamikia sare za askari mgambo hao pamoja na kutoa vitambulisho vyao

Akisoma taarifa kwa Mkuu wa Wilaya  Mshauri wa mgambo Wilaya ya Manyoni  bwana Lala AS  amesema kuwa mpaka sasa wanamafunzo wapo 220 wakiwamo wanawake 21 kati  ya hao ambao kwa kipindi chote hicho watapata mafunzo mbalimbali yakiwemo mafunzo ya ukakamavu pamoja na mafunzo ya ujasiliamali

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa