• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MRADI WA SGR WAJA NA FURSA HALMASHAURI YA ITIGI

Tarehe ya Kuwekwa: April 23rd, 2022

Halmashauri ya Itigi Mkoani Singida imetakiwa kujiandaa kuupokea mradi wa ujenzi wa reli ya treni ya mwendo kasi kwa kipande cha Makutupora hadi Tabora kwa kuwa mradi unaweza kuchochea fursa za kiuchumi sanjari na kuibua changamoto mbalimbali zikiwemo ja kijamii na za kimazingira.

Hayo yamesemwa na Afisa Jamii kutoka shirika la reli Tanzania Bw.Leordgard Otaru wakati wa kikao cha kujengeana uwezo baina ya maafisa wa mradi wa SGR pamoja na wakuu wa idara mbalimbali katika ofosi ya halmashauri ya Itigi.

Bwana Otaru amesema kuwa mradi umejipanga vizuri kupitia uzoefu kukabiliana na changamoto mbalimbali zitakazojitokeza wakati wa utekelezaji wa mradi'' wapo watu au taasisi zitalazimika kuondoka katika maeneo yao kupisha mradi watahitaji fidia ,mabadiliko ya ghafla ya mpango mji yote haya yanaweza kusababisha malalamiko kutoka kwa jamii''alisrma Otaru.

Naye Mkandarasi kutoka shirika la reli Tanzania Injinia Juma Lugema amesema mradi wa SGR kipande cha Makutupra  hadi Tabora chenye urefu wa kilometa 368 kitakamilika ndani ya miezi  46 chini ya mkandarasi Yapi Markez kitagharimu fedha takribani shilingi trilioni 4.472.

Injinia Lugema amesema kuwa mradi katika kipande hiki utatoa fursa mbalimbali za kiuchumi ikiwa ni pamoja na ajira za moja kwa moja takribani mia saba''ongezeko la watu litachechemua biashara mbali na ajira za moja kwa moja zaidi ya miasaba'' alisema Lugema.

Aidha Mganga mkuu wa Halmashauri ya Itigi Dk.Emmanuel Mallange amesisitiza kuwa wakati wote wa utekelezaji wa mradi lazima masuala ya afya yapewe kipaumbele''ili mradi uwe na tija kwa jamii ni lazima masuala ya afya yazingatiwe ili kuepuka mangonjwa ya mlipuko'' alisema Dk Mallange.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA 2022 May 25, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI AJIRA ZA MUDA ANWANI ZA MAKAZI April 01, 2022
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA AJIRA MPYA WALIMU NA KADA YA AFYA WALIOPANGIWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI July 06, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAFUNZO KAMPENI YA CHANJO HALMASHAURI YA ITIGI

    April 24, 2022
  • MRADI WA SGR WAJA NA FURSA HALMASHAURI YA ITIGI

    April 23, 2022
  • RAHABU MWAGISA ATOA NENO KWA WADAU WA AFYA H'W ITIGI

    April 02, 2022
  • WAFUGAJI NYUKI HALMASHAURI YA ITIGI WAPATIWA MAFUNZO

    April 06, 2022
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0737235630

    Simu ya Mkononi: 0757226612

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa