• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

MWENGE WA UHURU WARIDHIA MIRADI YOTE YA MAENDELEO ITIGI DC

Tarehe ya Kuwekwa: October 4th, 2023

KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023, Abdalla Shaib Kaim ameridhishwa na kupitisha miradi yote ya maendeleo iliyopitiwa na kukaguliwa na Mwenge huo katika Halmashauri ya Wilaya wilayani Itigi mkoani Singida.

Kaim akizungumza na wananchi wa Itigi amesema miradi yote imetekelezwa vizuri na kuagiza ile yenye mapungufu madogo madogo ifanyiwe marekebisho ndani ya siku tatu.

Kiongozi huyo wa mbio za Mwenge,  alisema Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imekuwa ikileta fedha nyingi kwenye halmashauri kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali hivyo ni jukumu la watendaji kuhakikisha wanaisimamia ili iwe inajengwa kwa viwango vya ubora ambavyo vinaendana na thamani ya fedha na pia ni njia ya kumuheshimisha.

Awali Mkuu wa Wilaya ya Manyoni, Kemirembe Lwota  akitoa  taarifa ya miradi iliyotembelewa na kukaguliwa na Mwenge wa Uhuru alisema ni saba ambayo ni ujenzi wa Hospitali ya Wilaya wenye thamani ya Sh.Bilioni 1.9, ujenzi wa barabara ya mijini na vijijini ya mita 700 yenye thamani ya Sh.milioni 499.239, mradi wa maji uliopo Kijiji cha Njirii wenye thamani ya Sh.Milioni 344.9.

Miradi mingine kuwa ni ujenzi
maambukizi ya virusi vya Ukimwi huku idadi ya wanaotumia dawa za ARV ni 3,633 wanaume wakiwa 1,238 na wanawake 2,390.mradi wa mapambano dhidi ya vitendo vya rushwa na kuanzisha klabu katika shule za sekondari, Utoaji wa elimu kuhusu masuala ya lishe na kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Lwota alisema Mwenge huo umekimbizwa umbali wa kilometa 77.5.ukifanya shughuli za uwekaji wa jiwe la msingi, uzinduzi na kutembelea miradi ya maendeleo

Kwa upande wake,Mbunge wa Manyoni Magharibi Yahaya Masare alipongeza kazi kubwa inayofanywa na Rais Samia kwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika jimbo hilo na kuwa hawana cha kumlipa Zaidi ya kumpa kura nyingi katika uchaguzi mkuu utakaofanyika mwaka 2025..

Naye, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi, Hussein Simba alimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuwapa ruzuku kutoka katika  bajeti ya nchi ya trioni 7 hadi asilimia 100 ambapo wilaya hiyo inapata Bilioni 8.






Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa