• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

RC.MAHENGE ASIKILIZA KERO ZA WANANCHI KATA YA MITUNDU NA ITIGI

Tarehe ya Kuwekwa: June 16th, 2022

                             

Wakazi wa halmashauri ya Itigi mkoani Singida wametakiwa kuthamini na kuunga mkono jitihada mbalimbali za serikali za kuwaletea maendeleo katika maeneo yao.

Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt .Binilith Mahenge katika mikutano ya hadhara ya kusikiliza na kutolea majibu kero na changamoto za wananchi katika Kata ya Mitundu na Itigi mkoani Singida na kusisitiza kuwa serikali inatekeleza  miradi mingi ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami kuanzia Mkiwa kuelekea mkoa wa Mbeya ,miradi ya maji,elimu, afya na kuwataka  waunge mkono jitihada hizo za serikali ya kuwaletea wananchi maendeleo.

Hata hivyo,Dkt, Mahenge amebainisha baadhi ya kero zinazowakabili wananchi ni pamoja na malalamiko ya wazee kuhusu kutonufaika na mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF na kumtaka Mratibu wa TASAF katika halmashauri hiyo Bw. Valence Kilasara kushughulikia suala hilo mapema.

Aidha Mkuu wa  Mkoa amesikiliza kero  zinzohusu migogoro ya ardhi ikiwa ni pamoja na wananchi kugombania maeneo,upimaji na urasimishaji na kumuagiza Afisa Tawala  wa Wilaya ya Manyoni pamoja na wataalamu kutoka Hlmashauri ya Itigi kutatua kero hiyo.

Kwa upande mwingine Dkt .Mahenge amefuta utaratibu uliotumiwa na Watendaji Kata wa Itigi wa kuwapata vijana wanaotaka ajira za muda katika mradi wa ujenzi wa reli ya treni ya mwendo kasi kwa kuwa haukuwa wa uwazi na kuagiza kuwa mchakato huo lazima uwe shindanishi ili kila mtu apate ajira kwa haki.

Akitolea ufafanuzi suala la uchimbaji madini katika eneo la hifadhi lililoibuliwa na Mwenyekiti wa Kijiji cha Mitundu Bwana Peter Jackson Mkowa akiomba serikali iwaruhusu wananchi wa eneo hilo kuchimba madini katika eneo la hifadhi kwa kufuata sheria na taratibu ili waweze kujiinua kiuchumi,Mkuu wa Mkoa  ameahidi kutembelea eneo linalodaiwa kuwa na madini ya dhahabu na kupata ushauri kutoka kwa wataalamu ili kuona ikiwa hakutakuwa na athari endapo madini hayo yataruhusiwa kuchimbwa  ndani ya Hifadhi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa