• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

SERUKAMBA APONGEZA ITIGI KWA UTELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO

Tarehe ya Kuwekwa: June 23rd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Peter Serukamba ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Itigi kwa utekeleazaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hali ambayo imesababisha Mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za serikali CAG kuwasilisha hoja chache ambazo pia zinafanyiwa kazi kwa kadri ya maelekzo yaliyotolewa na kamati mbalimbali na uongozi

Akizungumza leo june 22-2023 katika mkutano wa Baraza Maalum la Madiwani  wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi liliketi kujadili taarifa ya utekelezaji wa hoja za CAG kwa mwaka 2021/2022, Mhe Serukamba amesema ameridhishwa na namna halmashauri ya itigi ilivyofanyia kazi hoja, maoni na maelekezo mbalimbali ya serikali na wakaguzi.

“Nikupongeze Mkurugezi , Halmashauri yako ni ya pili kufunga hoja kwa Mkoa wa Singida , mmefanya kazi nzuri, endeleeni kufuata, sheria , kanuni na taratibu zilizopo katika kutekeleza majukumu yenu, ni Imani yangu mwaka wa fedha ujao, ripoti ikija mtakuwa na hoja chache za kujibu  na hiyo ndio kipimo cha ufanisi wenu “ Amesisitiza  Mhe Serukamba.

Aidha amewataka madiwani kusimamia ukusanyaji wa mapato ndani katika vyanzo mbalimbali vilivyopo ili kuongeza kasi katika kutekeleza miradi inayotekelezwa kwa fedha za ndani.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mhe Kemirembe Lwota amewashukuru watumishi wa halmashauri kwa ushirikiano na uwajibikaji wao katika kusimamia  utekelzwaji wa miradi  mbalimbali inayoendelea  katika halmashuri yao.

Hata hivyo Mhe Lwota amemuhakikishia Mkuu wa Mkoa , ataendelea kusimamia maelekezo aliyoyatoa ikiwemo ukamilishaji wa miradi ambayo ipo katika hatua za mwisho za umaliziaji ili iweze kutumika kwa ustawi wa wananchi na kuongeza makusanyo ya fedha kwa serikali.

Awali akifungua Mkutano huo Mwenyekiti wa baraza la madiwani Mhe Hussein Simba amesema madiwani wa halmshauri yake wanaushirikiano mkubwa katika kusimamia na kufuatilia utekelezaji wa mkioradi mbalimbali

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa