• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

SERUKAMBA KUTATUA MGOGORO ENEO LA MALISHO

Tarehe ya Kuwekwa: May 12th, 2023

Mkuu wa mkoa wa Singida Peter Serukamba amepiga marufuku wakulima kuvamia eneo lililotengwa kwa ajili ya malisho ya mifugo na kufanya shughuli zao za kilimo.

Akizunguma  katika kikao cha hadhara  kwa lengo la kusikiliza kero za wananchi wa halmashauri hiyo  Serukamba ametoa onyo kwa wakulima kuvamia eneo hilo kwa kusudi la kuendesha shughuli za kilimo jambo ambalo linasababisha migogoro baina ya wakuklima na wafugaji.

Mkuu wa Mkoa huyo amesema atafanya ziara kutembelea eneo hilo akiambatana na wataalam mbalimbali wakiwemo maafisa ardhi  ili kufanya mchakato wa kulirasimisha eneo hilo kwa kufanya upimaji,kulipatia hati na kulipa jina na kusisitiza kuwa serikali imeagiza kila Kijiji kitenge eneo kwa ajili ya malisho ya mifugo” hakuna namna yoyote tunaweza kuwatenga wafugaji” alisisitiza

Awali akizungumzia mgogoro huo Mwenyekiti wa chama cha wafugaji halmashauri ya Itigi amesema kumekuwa na uvamizi wa mara kwa mara wa wakulima katika eneo lililotengwa katika vijiji vya Doroto,Damwelu na Itigi Mjini kwa ajili ya malisho licha ya jitihada mbalimbali za kutatua ya migongano baina ya pande hizo mbili.

Katika mkutanao huo pamoja na mambo mengine changamoto zilizoibuka ni pamoja migogoro ya ardhi,maliipo kwa ajili ya kaya maskini(TASAF) na kukosekana kwa huduma za afya kwa wenye bima za afya

Matangazo

  • TAARIFA YA KUBATILISHA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI LA TAREHE 17/4/2023 April 29, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 12, 2023
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI MTUNZA KUMBUKUMBU DARAJA LA II NAFASI (3) July 27, 2022
  • TANGAZO KWA WATUMISHI WA AJIRA MPYA WALIMU NA KADA YA AFYA WALIOPANGIWA KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA ITIGI July 06, 2021
  • Tazama zote

Habari mpya

  • RAS MGANGA ATOA MAAGIZO

    May 12, 2023
  • SERUKAMBA KUTATUA MGOGORO ENEO LA MALISHO

    May 12, 2023
  • WAJUMBE WA MPDSR WAIBUKA NA MAAZIMIO

    May 01, 2023
  • DC.LWOTA AZINDUA MAADHIMISHO WIKI YA CHANJO ITIGI DC

    April 25, 2023
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0737235630

    Simu ya Mkononi: 0757226612

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa