• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

TATIZO LA UMEME ITIGI LAPATA MWAROBAINI

Tarehe ya Kuwekwa: September 13th, 2017

MKUTANO  WA  WANANCHI  WA  ITIGI NA  MHE. NAIBU WAZIRI WA NISHATI NA MADINI  DKT.MEDARD KALEMANI.

Naibu Waziri wa Nishati na Madini  Dkt Medard Kalemani amemtaka Meneja  wa Tanesco wa Wilaya ya Manyoni ndugu Patrick  Mtukananje Kurejesha huduma ya umeme kwa  Wananchi  wa Itigi ambao wamekatiwa kimakosa yaliyokuwa yamesababishwa  na wafanyakazi  wa shirika la Tanesco katika Halmashauri ya Itigi.

Naibu   Waziri  wa nishati na madini  Dkt Medard  Kalemani  amemtaka Meneja  wa Tanesco kanda na Meneja  wa Tanesco Mkoa wa Singida kuhakikisha  vishoka  wote wa ndani ya Tanesco na nje ya Tanesco   waliohusika  katika kuwaunganishia Wananchi  umeme  kinyume na utaratibu wachunguzwe mara moja na majibu yake yapatikane kesho  Tarehe  14/09/2017

Agizo  hilo limekuja  baada yaWananchi  kulalamika kwa Mhe. Mbunge ndugu Yahaya Masare  kuwa wanakatiwa umeme ambao wamefanya malipo halali. Hata hivyo Mhe Mbunge alimweleza  Mhe Naibu Waziri kuwa Wananchi wa Itigi ni waaminifu sana kwa kuwa hawana tabia ya kuhujumu mali za shirika hilo  “alisema Wananchi hawa Mhe. Naibu Waziri  hajawahi kuiba nguzo za umeme, hawajahi kuiba hata kipande cha waya wa umeme sasa iweje leo Wananchi hawa waaminifu ambao wamekuwa  wakifuata taratibu zote za ulipaji wa bill za umeme leo wanaonekana ni wezi. Wakati  nguzo za umeme hawana uwezo wa kuzipata , luku vile vile hawana uwezo wa kuipata binafsi, sasa leo unapowaambia ni wezi wa Umeme inakuaje’’

Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Itigi   ndugu  Pius  Shija Luhende  alimweleza Mhe Naibu Waziri kuwa Wananchi wa Itigi wameonewa  sana na Meneja  wa  Tanesco aliyekuwa anasimamia ofisi ndogo ya Tanesco  Itigi kwa kuwafungia Wananchi umeme kinyume na taratibu.

Katika kuhitimisha Mkutano huo Mhe  diwani  Hussein Simba  alimweleza  Mhe. Naibu Waziri wa Nishati na Madini kuwa Halmashauri ya Itigi  Haina ofisi ya Tanesco hivo kupelekea  kutumia gharama kubwa kwenda Manyoni kwa ajili ya kupata huduma.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa