• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

TAWIRI YATOA MAFUNZO YA KUWADHIBITI TEMBO

Tarehe ya Kuwekwa: October 26th, 2022

                      

TAASISI YA UTAFITI WA WANYAMAPORI TANZANIA (TAWIRI)CHINI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII IMETOA ELIMU NA MAFUNZO  YA UTATUZI WA  MIGONGANO BAINA YA  WANYAMAPORI  NA BINADAMU KWA KUTUMIA MBINU RAFIKI ZA KUDHIBITI WANYAMAPORI WAHARIBIFU KWA WAKULIMA 30 KUTOKA KATA NNE ZA MWAMAGEMBE,SANJARANDA,ITIGI MAJENGO NA KITARAKA KATIKA HALMASHAURI YA ITIGI MKOANI SINGIDA

Timu hiyo ya wataalamu kutoka TAWIRI ikiongozwa na  Dkt Janemary Ntalwila imewafundisha wananchi baadhi ya mbinu za kuwadhibiti tembo ikiwa ni pamoja na Vitisho vya mwanga,Vitisho vya sauti(Vuvuzela au honi kali),Mabomu ya pilipili,Matumizi ya fataki,Uzio wa vitambaa vyenye mafuta ya oili na pilipili,Tofali la pilipili na matumizi ya fensi ya mizinga ya nyuki.

Aidha wamefundishwa njia mbadala ya upandaji wa mazao kinga katika maeneo yanayoathirika na tembo kuwa ni njia nzuri ya kupunguza migongano .

Baadhi ya mazao hayo ni pamoja na tumbaku,pilipili,ufuta na tangawizi ambayo yanaweza kupandwa kuzuunguka shamba au kama mazao mbadala.

Njia hizi zimethibitika katika maeneo mengi kuwa na matokeo chanya ya kupunguza uvamizi na uharibifu wa mazao na madhara mengine yanayotokana na uvamizi wa wanyamapori hao waharibifu.

Sambamba na njia hizi  wananchi hao wamepatiwa elimu ya baadhi ya vyanzo vya migongano baina ya wanyamapori na binadamu ikiwa ni pamoja na ongezeko la watu jirani na maeneo ya hifadhi, mabadiliko ya tabia ya nchi,kufungwa kwa mapito ya wanyamapori, mabadiliko ya tabia za wanyamapori na kutokuwepo kwa mipango ya matumizio bora ya ardhi.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa