• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

Tumieni mikopo kwa malengo mahususi-Mtaturu

Tarehe ya Kuwekwa: April 17th, 2018

Na Luganuzi Muwelu -itigidc
Kaimu mkuu wa Wilaya ya Manyoni Mh. Miraji Mtaturu ameyasema hayo alipokuwa akizindua tawi la NMB Mitundu katika kijiji cha Mitundu Halmashauri ya Wilaya ya Itigi. Mtaturu amesema kuwa si vema sana wananchi kwenda kukopa benki kwa lengo la kuendesha Biashara zao alafu wanashindwa kurejesha kwa sababu tu ya kutumia Mkopo ule kinyume na Malengo. Ni vema basi ukikopa kwa lengo la kufanya biashara hakikisha unakuwa mwaminifu mkopo wako wote uelekeze kwenye Biashara hiyo ndipo utapata Mafanikio. Lakini ukitumia Mkopo huo kinyume na Malengo Hakika uwezi kupata mafanikio na Mkopo wako utashindwa kurejesha.

Mtaturu pia amewapongeza sana Benki ya NMB kusogeza huduma karibu na Wananchi , benki hii ya NMB Mitundu itawanufaisha sana wananchi na wafanyabiashara kwa ujumla wananchi leo hawatakwenda umbali Mrefu kuweka fedha zao benki lakini nyie NMB ummeliona hilo na kuamua kusogeza huduma karibu hatahivyo Mkuu wa Wilaya hiyo amesema uwepo wa Benki katika eneo hilo itarahisisha sana swala la kiusalama kwa maana sasa wananchi hawana haja ya kuweka fedha ndani wakati benki ipo. Mtaturu pia amewashukuru benki ya NMB kwa kutoa Mabati na Vitanda kwa kwa ajili ya kujifungulia kina mama wajawazito katika kituo cha Afya Mitundu ambavyo vyote hivyo vina Thamani ya sh Million 10 na Kuahidi kuwa Vifaa vyote vilivyotolewa atavisimamia ili kuhakikisha vifaa hivyo vinatumika kama vilivyokusudiwa

Awali Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi Mh Ally Minja alimweleza Mkuu Wilaya Benki ya NMb imekuwa ikitoa Sehemu ya faida zake kusaidia Huduma mbali mbali za kujamii ikiwemo Elimu na Afya katika Halmashauri ya wilaya ya Itigi. Hata hivyo Minja amesema uwepo wa benki ya NMB Mitundu kutawapunguzia sana wananchi safari ya mwendo Mrefu kufuata Huduma za Kibenki ambapo wananchi walikuwa wanatumia zaidi ya km 70 kufuata huduma za kibenki.

Naye Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Mitundu bwana Mosha amesema kuwa anawashukuru sana Benki ya NMB kwa kuwasogezea huduma za kibenki katika kijiji hicho kwa kuwa mzunguko wa Biashara ni mkubwa. Mosha amesema pia yeye mwenyewe ameamua kutoa Uwanja wake ili kuhakikisha huduma za kibenki zinakuwepo karibu .

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa