• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

TUNZENI MAZINGIRA-RC SERUKAMBA

Posted on: June 23rd, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe Peter Serukamba amewataka watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Itigi kuhamasisha na kusimamia usafi wa mazingira  katika miji mbalimbali kwa ustawi wa viumbe hai.

Akizungumza katika Baraza Maalum la Madiwani  wa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi lililoketi kujadili taarifa ya utekelezaji wa hoja za CAG kwa mwaka 2021/2022, Mhe Serukamba amesema divisheni ya mazingira kwa kushirikian na vitengo vingine inapaswa kuhakikisha mazingira yanakuwa safi kwa kipindi chote cha mwaka.

“Niwaombe ndugu zangu wana itigi , hakikisheni mnasimamia usafi wa mazingira  hususani katika miji yetu mikubwa ya Itigi mjini na mitundu , mazingira ni uhai, tekelezeni wajibu wenu, wekeni sheria ndogondogo za kusimamia usafi, zisimamieni ili tuweze kutunza mazingira yetu,” amesisistiza Mhe. Serukamba.

Aidha Mhe. Serukamba amesema baada ya wiki ya mazingira kupita ni vema miji ikaendelea kusafishwa na kulindwa kwa kuwa mji wa itigi unaendelea kukuwa na kupokea wageni kila wakati hivyo ni vyema miji ikiwa misafi kuvutia watalii na wawekezaji.

Kwa upande wake Afisa Mazingira wa halmashauri Nonhy Kigoda amesema kama divisheni ya mazingira ya halmashauri wamepokea maelekezo ya mkuu wa mkoa ambapo wanaanza kufanyia kazi mara moja.

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.