• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

UTAWALA DAY

Tarehe ya Kuwekwa: December 6th, 2022

Maafisa watendaji wa Kata na vijiji katika halmashauri ya Wilaya ya Itigi wamesema wanakabiliwa na changamoto ya majengo ya ofisi pamoja na usafiri hali inayopelekea kushindwa kutimiza majukumu yao kwa ufanisi.

Akisoma risala mbele ya mgeni rasmiambaye ni  Mwenyekiti wa halmashauri ya Itigi Mh. Hussein Simba,Afisa mtendaji wa Kata ya  Itigi Mjini Bw.Saimoni Sirilo amesema kuwa kuna Kata na Vijiji vingi katika halmashauri bado havina ofisi za kudumu pamoja na usafiri ili kurahisisha shughuli za kiutawala katika maeneo yao.

Akitolea ufafanuzi,Mwenyekiti wa halmashauri ya Itigi Mh. Hussein Simba amesema mahitaji yalioainishwa katika risala hiyo ofisi yake imeyapokea na kuahidi kuyafanyia kazi pamoja na  akiwapongeza kwa kusimamia kwa vizuri zoezi la postikodi,sense ya watu na makazi na usimamizi wa miradi na kuongeza kuwa kuanzishwa kwa SIKU YA UTAWALA DAY ni jambo jema kwani inafungua mlango kwa watumishi hao kuwa na sehemu maalumu ya kuelezea mambo mbalimbali wanayo kabili.

Kwa upande wake Mkuu wa Divisheni ya  Kilimo,Umwagiliajina na Ushirika  Ndg.Mkinguzi Mgalula kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji  wa halmashauri hiyo Bw. John Mgalula amesisitika kuwa ofisi ya Mkurugenzi inatambua umuhimu wa watendaji wote wa Kata na Vijiji kwa kuwa ndio wasimamizi na watekelezaji wakuu wa maagizo ya serikali katika maeneo yao.

Nae Mkuuwa Divisheni ya Utumishi Bi. Joyce Masoga ameelezea dhima ya siku hiyo maalumu ya Utawala ni kubadilishana mawazo itayoenda sambamba na kuwapongeza watumishi wa umma watakaokuwa wanastaafu huku Diwani wa Kata ya Itigi Mjini Mh. Ali Minja ameshauri kuwepo na semina ya kuwajengea uwezo watendaji ikiwa ni sehemu ya sherehe ya UTAWALA DAY.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa