• Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Itigi District Council
Itigi District Council

The United Republic of Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Itigi District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Core Values
    • Strategies
  • Administration
    • Organisation Structure
    • Departments/Units
      • Administration and Human Resource Management
      • Planning and Statistics
      • Finance and Trade
      • Animal Keeping and Fishing
      • Agriculture and Corperation
      • Engineering
      • Primary Education
      • Secondary Education
      • Community Development and Social Welfare
      • Land and Natural Resources
      • Environment and Cleaning
      • Water
      • Health
      • Information and Communication Technology
      • Election
      • Legal
      • Internal Audit
      • Procurement and Supply
      • Beekeeping
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Farming
    • Keeping
  • Services
    • Health
    • Water
    • Education
    • Agriculture
    • Livestock
    • Fishing
  • Councilors
    • List of Councilors
    • Committees
      • Finance
      • Education, Health and Water
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • AIDS
      • Maadili
    • Timetable
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Projects
    • Planned Projects
    • Ongoing Projects
    • Completed Projects
  • Publications
    • Bylaws
    • Application Forms
    • Guidelines
  • Media Center
    • Videos
    • Photo Gallery
    • News
    • Press Release

VIONGOZI SEKTA YA ELIMU H'W ITIGI WAPIGWA MSASA

Posted on: September 28th, 2022

Viongozi wa Elimu katika halmashauri ya Wilaya ya Itigi  wamepatiwa mafunzo yenye lengo la  kujengeana  uwezo wa Kuwezesha  Mafunzo Endelevu ya walimu kazini ili  kuleta matokeo chanya ya ujifunzaji kupitia Mradi wa Elimu Bora.

Mafunzo hayo yametolewa na Mwezeshaji kutoka Wizara ya Elimu Bwana Tresphory Kasabaro katika ukumbi wa Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo ambapo kwa awamu ya kwanza  yakihusisha  Maafisa  Taaluma Msingi, Maafisa elimu Kata na Wathibiti Ubora wa Shule.

Kasabaro amesema kuwa  viongozi wa Elimu katika halmashauri ya Itigi wanawajibu wa kuhakikisha Mradi wa SHULE BORA unaleta matokeo chanya  kufuatia programu ya  Mafunzo Endelevu  kwa Walimu Kazini(MEWAKA)

Awali akitoa Malengo ya MEWAKA mwezeshaji Bwana Dickson Msangia amesisitiza kuwa ni muhimu sana kwa waalimu kuzingatia Ujifunzaji shirikishi na Jumuishi ili kuleta ufanisi katika tendo zima la ujifunzaji kwa wanafunzi.

Halmashauri ya Wilaya ya Itigi ni miongoni mwa halmashauri zinazitekeleza Mradi wa ELIMU BORA wenye lengo la kuinua ubora wa elimu nchini .

Announcements

  • Tangazo la kura ya Rais September 18, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 02, 2025
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • JIMBO LA MANYONI MAGHARIBI LABADIRISHWA JINA SASA LINATAMBULIKA KAMA "JIMBO LA ITIGI" May 12, 2025
  • View All

Latest News

  • KIKAO KAZI CHA WADAU WA AFYA KUTATHIMINI TAKWIMU NA MAOTEO YA ROBO YA NNE KWA MWAKA WA FEDHA 2024/25

    August 27, 2025
  • MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA ITIGI KUPIIA CHAMA CHA MAPINDUZI NDG YOHANA MSITA AREJESHA FOMU YA UTEUZI WA UBUNGE

    August 27, 2025
  • TUME YA UTUMISHI WA UMMA YATOA TAARIFA YA UKAGUZI KWA MENEJIMENT YA ITIGI DC

    August 25, 2025
  • SHIMISEMITA TANGA

    August 25, 2025
  • View All

Video

YANGA DAY
More Videos

Quick Links

  • Our Instagram
  • Our Facebook
  • TAMISEMI
  • ikulu
  • NeST
  • NECTA

Related Links

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

writingMasterThesis

Location Map

Contact Us

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • FAQ
    • Sitemap

Copyright ©2018 Itigi Distict Council. All rights reserved.