• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

Wakulima wa zao la dengu katika halmashauri ya Wilaya ya Itigi watakiwa kuunda ushirika

Tarehe ya Kuwekwa: October 19th, 2018

Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Itigi Mh Ally J Minja Amewataka wakulima wa zao la Dengu kuunda ushirika wa zao la Dengu. Minja ameyasema hayo kwenye baraza la Madiwani la halmashauri ya Wilaya ya Itigi la kumaliza robo ya kwanza kwa mwaka 2018-2019

Wakulima hao wametakiwa kujiunga kwenye vyama vya ushirika ili wawe na bei ya uuzaji wa pamoja wa zao hilo la dengu kuliko hivi sasa wanavyonyonywa na matajiri wachache kwa dengu yao kununuliwa shambani na wakati mwingine kununuliwa kwa bei isiyoridhisha

Naye Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Itigi mkoani Singida Pius Luhende ameendeleza kusisitiza uundwaji wa vikundi vya ushirika hususani wa zao la dengu ambalo ndio zao kubwa la biashara linalolimwa na wakazi wa halmashauri hiyo, kwani kufanya hivyo itaongeza thamani yake ikiwa ni pamoja na kupata pembejeo, masoko na mashine ya kubangua zao hilo kama ilivyo kilio cha wakulima wa zao hilo.

Luhende ameeleza hayo katika kikao cha robo ya kwanza cha baraza la madiwani wa Halmashauri ya Itigi, kilichoketi kujadili masuala kadha ya maendeleo, ambapo akijibu swali la John Subeti diwani wa kata ya Kitaraka wakati kipindi cha maswali ya papo kwa papo kutaka kujua hatima ya serikali juu ya wakulima wa zao hilo.

Waheshimiwa madiwani wa halmshauri ya Wilaya ya Itigi wakiwa  kwenye baraza la Madiwani la Halamshauri ya Wilaya ya Itigi

Mh Mbunge wa manyoni Magharibi mh Yahaya Masare wa kwanza kushoto akifuatilia mkutano wa baraza

Mkurugenzi Mtendaji wa Halamshauri ya Wilaya ya Itigi  ndugu Pius shija Luhende akifafanua Jambo kwenye Mkutano wa baraza la madiwani

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa