• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

WALIMU NA MAAFISA ELIMU KATA WAPIGWA MSASA

Tarehe ya Kuwekwa: March 2nd, 2023

Maafisa elimu Kata,Wakuu wa Shule na Wenyeviti wa Kamati za shule wametakiwa kushirikiana ili kuhakikisha kila mtoto anapata elimu na kumaliza ili waweze kupata maarifa yatakayo wasaidia kuwa na uwezo wa kujitegemea .

Akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wadau hao wa elimu ,Mkuu wa Divisheni ya Elimu Msingi na Awali Halmashauri ya Itigi Bi. Doreen Lutahanamilwa amesema kuwa programu ya SHULE BORA kwa kushirikiana na serikali inataka kuhakikisha mwanafunzi anapata elimu na  maarifa sahihi ili aweze kukabiliana na  changamoto za maisha.

Amesema wadau hao wa elimu wanaopata mafunzo wanapaswa kutambua kuwa wanadhamana kubwa ya kuinua  ubora wa elimu nchini kwa kukomesha utoro,mdondoko wa wanafunzi hususani wa kike na kuhakikisha watoto wote wanafaulu nakujiunga na masomo ya sekondari.

Naye Mratibu wa Mpango wa SHULE BORA katika halmashauri ya Itigi Ndg. Victor Mshana amebainisha kuwa moja ya malengo ya mafunzo hayo ni kuwafundisha namna ya kuanzisha Ushirikiano baina ya walimu na wazazi ili kusaidia kamati za shule katika kutekeleza mpango kazi yao na kuibua changamoto na jinsi ya kuzitatua.

Kwa upande wake Mkuu wa Shule ya Msingi Mitundu Mwl. Benjamini Lisu, amesema mafunzo hayo yamewasaidia kupata mbinu za kukabiliana na mdondoko wa elimu katika mkoa ikiwa ni pamoja na ushirikishwaji  wa kamati za shule pamoja na jamii.

Mradi wa SHULE BORA inatekeleza progamu hii katika mikoa tisa ikiwemo Dodoma,Katavi,Singida,Kigoma,Mara,Pwani,Rukwa,Simiyu na Tanga huku  baadhi ya vipaumbele vikiwa ni Kuimarisha uandikishaji wa wanafunzi,kuongeza idadi ya wanafunzi wanao maliza elimu ya msingi na Kuimarisha ufundishaji wa  KKK.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2024
  • TANGAZO LA MIKOPO YA ASILIMIA KUMI October 01, 2024
  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA October 17, 2023
  • TANGAZO LA AJIRA April 08, 2024
  • Tazama zote

Habari mpya

  • MAADHIMISHO SIKU YA UKIMWI

    December 10, 2024
  • SITAKI KUONA MTU ANACHEZA NA WATOTO WA SHULE-RC DENDEGO

    November 10, 2024
  • DC MANYONI APIGA MARUFUKU UKATAJI WA VICHAKA VYA ITIGI

    November 01, 2024
  • SERIKALI KUBORESHA HALI YA WAZEE

    October 17, 2024
  • Tazama zote

Video

WALIOFAULU WARIPOTI SHULENI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu
  • Barabara yenye urefu wa km 10 kujengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Itigi kwa zaidi ya sh. bilioni 8 kukamilika julai mwakani
  • Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Singida

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0684483226

    Simu ya Mkononi: 0684483226

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa