• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Itigi District Council
Itigi District Council

Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara/Vitengo
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo na Ushirika
      • Ujenzi
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Usafi na Mazingira
      • Maji
      • Afya
      • Teknolojia, Habari na Mawasiliano
      • Uchaguzi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Ugavi na Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Elimu
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Fedha, Uongozi na Mipango
      • Elimu, Afya na Mji
      • Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Ukimwi
      • Maadili
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
    • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Shera Ndogo
    • Fomu za maombi Mbalimbali
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Picha
    • Habari
    • Taarifa kwa umma

Elimu Sekondari

KAZI/SHUGHULI ZA IDARA YA ELIMU SEKONDARI

1.         Kurekebisha ikama ya Walimu ili kuboresha na kurahisisha utendaji kazi (ufundishaji) katika kuinua kiwango cha Taaluma.

2.         Kusimamia, kufuatilia na kuwezesha Walimu kwenda likizo na upatikanaji wa nauli zao.

3.         Kupanga mikakati ya utendaji na uwajibikaji katika kusimamia na kuinua kiwango cha taaluma kwa kufanya vikao na Wadau wa Elimu kama vile Wakuu wa Shule na Walimu.

4.         Kusimamia na kuwezesha upatikanaji wa fedha za Ruzuku ya kuendeshea Shule pamoja na kufuatilia na kusimamia matumizi ya fedha hizo kwa kushirikiana na Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu.

5.         Kuwezesha na kufuatilia upatikanaji wa gharama za mafunzo ya muda mrefu na muda mfupi kwa Walimu ili kuongeza kiwango cha ufanisi kazini.

6.         Kufuatilia na kusimamia upatikanaji wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia Shuleni ili kuinua kiwango cha taaluma shuleni.

7.         Kuwezesha upatikanaji wa gharama za chakula cha Wanafunzi shuleni kwa (Shule za Bweni).

8.         Kusimamia na kufuatilia ufundishaji na ujifunzaji ili kuinua kiwango cha taaluma shuleni na ndani ya Halmashauri.

9.         Kufuatilia na kusimamia uendeshaji wa Mitihani ya Kitaifa ya Kidato cha II, IV,  na Vyuo vya Ualimu na Vyuo vya Ufundi ndani ya Wilaya.

10.       Kufuatilia uendeshaji na ufanyikaji wa Mitihani ya ndani kama vile Mitihani ya utamilifu na Mitihani ya mihula.

11.       Kuwezesha, kufuatilia na kusimamia ujenzi wa miundo mbinu mbalimbali shuleni ili kuboresha mazingira ya ufundishaji na ujifunzaji katika Shule.

12.       Kusimamia na kufuatilia upatikanaji wa samani mbalimbali Shuleni.

13.       Kufuatilia na kuwezesha uboreshaji wa mazingira ya ujifunzaji na ufundishaji ili yawe mazingira rafiki katika ufundishaji na ujifunzaji.

Matangazo

  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2019 December 15, 2018
  • Tangazo la Kuitwa kwenye usaili September 12, 2017
  • TANGAZO LA UUZAJI WA MAGOGO February 28, 2018
  • Tangazo la Zabuni July 02, 2018
  • Tazama zote

Habari mpya

  • Wananchi Halmashauri ya Itigi watakiwa kuacha kukata miti Hovyo

    January 23, 2021
  • Mwenyekiti Mpya wa Halmashauri ya Itigi awataka Madiwani na Watumishi kufanya Kazi kwa ushirikiano kukidhi Mahitaji ya wananchi.

    December 16, 2020
  • TASAF KIPINDI CHA PILI AWAMU YA TATU HALMASHAURI YA ITIGI YAANZA NA UHAKIKI WA KAYA

    August 01, 2020
  • MGANGA MKUU ITIGI DR MALLANGE AENDELEZA OPERATION FUNGIA MAABARA BUBU

    February 04, 2020
  • Tazama zote

Video

RAIS MAGUFULI AADHIMISHA SIKU YA MASHUJAA ITIGI SINGIDA NA WANANCHI
Video Nyingine

Kurasa za Karibu

  • Hotuba mbalimbali
  • Taarifa mbalimbali

Tuvoti mashuhuri

  • Utumishi
  • Baraza la Mitihani la Taifa
  • TAMISEMI
  • Ikulu

Kinasajii Watumiaji Kimataifa

world map hits counter

Idadi ya Watumiaji

writingMasterThesis

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Itigi

    Anwani ya Posta: S. L. P. 70 Itigi

    Simu: 0737235630

    Simu ya Mkononi: 0757226612

    Barua pepe: ded.itigidc@singida.go.tz

Mawasiliano Yetu

   

    • Sera ya Faragha
    • Malalamiko
    • MMM
    • Ramani

Haki miliki©2018 Halmashauri ya Wilaya ya Itigi :Haki zote zimehifadhiwa